× NYUMBANI KUHUSU SISI HUDUMA ZETA UTARATIBU WASILIANA NASI PICHA
Currently there are is no map to display, sorry.
Currently there are no videos to display, sorry.

MWONGOZO-KIGAMBONI

Kiwanja kipo eneo zuri la Mwongozo karibu sana na nyumba za NHC na NSSF karibu na bahari ya Hindi. Kipo umbali wa 800m kutoka

barabara kuu ya lami. Ni eneo lililoendelezwa kwa ujenzi wa nyumba nzuri sana na za kisasa.

Mahali ulipo

Mkoa
Dar Es Salaam
Wilaya
Kigamboni
Eneo
Mwongozo
Matumizi : makazi
Ukubwa: 1405SQM
Bei TZS: 40,000,000.00
Malipo kwa awamu mpaka miezi: Cash
Kwa taarifa zaidi wasiliana nasi: 0767 711 120/0744 444 509/0677 303 344

Pata kiwanja kwa mkopo wa riba nafuu kupitia benki washirika.

Bonyeza jina la benki kupata taarifa zaidi.

Andika ujumbe
${error}

Sending Query

Please wait....

Viwanja Tanzania

Nyumba ya Maarifa, mkabala na ofisi za shirika la ndege ( ATC), mtaa wa Ohio.

+255 767 711 120 | +255 744 444 509 | +255 677 304 344
Saa za Kazi Jumatatu- ljumaa : Saa 2:00 Asubuhi - 11:00 Jioni
Jumamosi : Saa 3:00 Asubuhi - 7:00 Mchana

Tufuate kwenye mitandao ya kijamii

VIWANJATANZANIA © 2024
Designed and Maintained By
Wisne.co