× NYUMBANI KUHUSU SISI HUDUMA ZETA UTARATIBU WASILIANA NASI PICHA
Currently there are is no map to display, sorry.
Currently there are no videos to display, sorry.

BUNJU-KINONDONI

Ni kiwanja kizuri sana chenye ukubwa wa zaidi ya ROBO HEKA, Kipo katika eneo zuri la Bunju lenye ujirani mzuri na kuendelezwa kwa nyumba nzuri na za kisasa. Kipo karibu sana na barabara kuu ya lami ya Bagamoyo. Huduma za kijamii zote zinapatikana.

Mahali ulipo

Mkoa
Dar Es Salaam
Wilaya
Kinindoni
Eneo
Bunju
Matumizi : makazi
Ukubwa: 1626SQM
Bei TZS: 45,000,000.00
Malipo kwa awamu mpaka miezi: Cash
Kwa taarifa zaidi wasiliana nasi: 0767 711 120/0744 444 509/0677 303 344

Pata kiwanja kwa mkopo wa riba nafuu kupitia benki washirika.

Bonyeza jina la benki kupata taarifa zaidi.

Andika ujumbe
${error}

Sending Query

Please wait....

Viwanja Tanzania

Nyumba ya Maarifa, mkabala na ofisi za shirika la ndege ( ATC), mtaa wa Ohio.

+255 767 711 120 | +255 744 444 509 | +255 677 304 344
Saa za Kazi Jumatatu- ljumaa : Saa 2:00 Asubuhi - 11:00 Jioni
Jumamosi : Saa 3:00 Asubuhi - 7:00 Mchana

Tufuate kwenye mitandao ya kijamii

VIWANJATANZANIA © 2021
Designed and Maintained By
Wisne.co