× NYUMBANI KUHUSU SISI HUDUMA ZETA UTARATIBU WASILIANA NASI PICHA
Currently there are no videos to display, sorry.

BUNJU B-KINONDONI

Kiwanja kizuri kwa matumizi ya makazi. Kiwanja kipo Bunju B kuelekea Mabwepande .Kiwanja kipo eneo zuri na umbali kutoka barabara ya Bagamoyo ni 1.4km. Eneo limezungukwa na nyumba za makazi. Huduma zote za kijamii zipo ikiwemo maji, umeme, hospitali, shule nk

Mahali ulipo

Mkoa
Dar Es Salaam
Wilaya
Kinondoni
Eneo
Bunju
Matumizi : makazi
Ukubwa: 1251SQM
Bei TZS: 35,000,000.00
Malipo kwa awamu mpaka miezi: Cash
Kwa taarifa zaidi wasiliana nasi: 0767 711 120/0744 444 509/0677 303 344

Pata kiwanja kwa mkopo wa riba nafuu kupitia benki washirika.

Bonyeza jina la benki kupata taarifa zaidi.

Andika ujumbe
${error}

Sending Query

Please wait....

Viwanja Tanzania

Nyumba ya Maarifa, mkabala na ofisi za shirika la ndege ( ATC), mtaa wa Ohio.

+255 767 711 120 | +255 744 444 509 | +255 677 304 344
Saa za Kazi Jumatatu- ljumaa : Saa 2:00 Asubuhi - 11:00 Jioni
Jumamosi : Saa 3:00 Asubuhi - 7:00 Mchana

Tufuate kwenye mitandao ya kijamii

VIWANJATANZANIA © 2023
Designed and Maintained By
Wisne.co