× NYUMBANI KUHUSU SISI HUDUMA ZETA UTARATIBU WASILIANA NASI PICHA
Orodha ya Viwanja na Bei
Currently there are no videos to display, sorry.

ZEGERENI-KIBAHA

Mradi upo Kibaha Visiga eneo la Zegereni lenye viwanda vikubwa na vya kisasa. 6km kutoka barabara kuu ya Morogoro. Ni mradi uliopimwa kwa kuzingatia mahitaji ya kisasa. Viwanja vinapakana na viwanda vya kisasa na kutoa urahisi wa kwenda na kurudi kazini. Pia mradi upo karibu na sitesheni ya reli mpya (SGR) hivyo kuongeza urahisi wa usafiri wa kuja Dar es Salaam na kwenda mikoa mingine. Huduma zingine kama shule, hospitali, burudani zinapatikana kwa karibu sana. Viwanja vinafikika kwa barabara.

Mahali ulipo

Mkoa
Pwani
Wilaya
Kibaha Mjini
Eneo
Zegereni
Matumizi : miradi
Bei TZS: 7500/SQM
Bei Kuanzia TZS: 3,652,500
Malipo kwa awamu mpaka miezi: 12
Kwa taarifa zaidi wasiliana nasi: 0767 711 120/0744 444 509/0677 303 344

Pata kiwanja kwa mkopo wa riba nafuu kupitia benki washirika.

Bonyeza jina la benki kupata taarifa zaidi.

Andika ujumbe
${error}

Sending Query

Please wait....

Viwanja Tanzania

Nyumba ya Maarifa, mkabala na ofisi za shirika la ndege ( ATC), mtaa wa Ohio.

+255 767 711 120 | +255 744 444 509 | +255 677 304 344
Saa za Kazi Jumatatu- ljumaa : Saa 2:00 Asubuhi - 11:00 Jioni
Jumamosi : Saa 3:00 Asubuhi - 7:00 Mchana

Tufuate kwenye mitandao ya kijamii

VIWANJATANZANIA © 2021
Designed and Maintained By
Wisne.co