× NYUMBANI KUHUSU SISI HUDUMA ZETA UTARATIBU WASILIANA NASI PICHA
Currently there are no videos to display, sorry.

KILUVYA-KIBAHA

Viwanja vipo eneo zuri lililoendelezwa kwa nyumba nzuri na za kisasa.Viwanja vipo eneo zuri sana maarufu kwa jina la Sumaye. Viwanja vipo 4km kutoka Kiluvya madukani au barabara kuu ya Morogoro.Barabara ni nzuri na usafiri wa daladala unapatikana wakati wote. Huduma ya umeme inapatikana. Viwanja tayari vina hati.

Mahali ulipo

Mkoa
Pwani
Wilaya
district.kibaha
Eneo
location.kiluvya
Matumizi : miradi
Bei TZS: 22500/SQM
Bei Kuanzia TZS: 16,065,000
Malipo kwa awamu mpaka miezi: 12
Kwa taarifa zaidi wasiliana nasi: 0767 711 120/0744 444 509/0677 303 344

Pata kiwanja kwa mkopo wa riba nafuu kupitia benki washirika.

Bonyeza jina la benki kupata taarifa zaidi.

Andika ujumbe
${error}

Sending Query

Please wait....

Viwanja Tanzania

Nyumba ya Maarifa, mkabala na ofisi za shirika la ndege ( ATC), mtaa wa Ohio.

+255 767 711 120 | +255 744 444 509 | +255 677 304 344
Saa za Kazi Jumatatu- ljumaa : Saa 2:00 Asubuhi - 11:00 Jioni
Jumamosi : Saa 3:00 Asubuhi - 7:00 Mchana

Tufuate kwenye mitandao ya kijamii

VIWANJATANZANIA © 2023
Designed and Maintained By
Wisne.co