× NYUMBANI KUHUSU SISI HUDUMA ZETA UTARATIBU WASILIANA NASI PICHA
Ramani ya Viwanja
Currently there are no videos to display, sorry.

TUNDWI SONGANI-KIGAMBONI

Mradi huu wa viwanja upo eneo la Tundwi Songani-Nyange 45km kutoka Ferry au daraja la Kigamboni kupitia barabara ya Mwasonga, 500m kutoka Tundwi center, 4km kutoka kiwanda cha lake cement. 7km kutoka Kimbiji na 9km kutoka baharini. Usafiri wa daladala unapatikana. Huduma za umeme, hospitali, shule na maji zinapatikana.

Mahali ulipo

Mkoa
Dar Es Salaam
Wilaya
Kigamboni
Eneo
Tundwi
Matumizi : makazi
Bei TZS: 7500/SQM
Bei Kuanzia TZS: 2,500,000
Malipo kwa awamu mpaka miezi: 12
Kwa taarifa zaidi wasiliana nasi: 0767 711 120 | 0744 444 509 | 0677 303 344

Pata kiwanja kwa mkopo wa riba nafuu kupitia benki washirika.

Bonyeza jina la benki kupata taarifa zaidi.

Andika ujumbe
${error}

Sending Query

Please wait....

Viwanja Tanzania

Nyumba ya Maarifa, mkabala na ofisi za shirika la ndege ( ATC), mtaa wa Ohio.

+255 767 711 120 | +255 744 444 509 | +255 677 304 344
Saa za Kazi Jumatatu- ljumaa : Saa 2:00 Asubuhi - 11:00 Jioni
Jumamosi : Saa 3:00 Asubuhi - 7:00 Mchana

Tufuate kwenye mitandao ya kijamii

VIWANJATANZANIA © 2024
Designed and Maintained By
Wisne.co