× NYUMBANI KUHUSU SISI HUDUMA ZETA UTARATIBU WASILIANA NASI PICHA
Ramani ya Viwanja
Currently there are no videos to display, sorry.

VISIGA-KIBAHA

Viwanja vizuri vipo Visiga-Kibaha, vipo 1.8km kutoka barabara ya Morogoro, vinapakana na shule ya Roneca Girls Sec School na St. Mary’s. Viwanja vinafikika kwa barabara. Huduma zote za kijamii zipo ikiwemo maji, umeme, shule, hospital nk. Viwanja vimepimwa na vina hati.

Mahali ulipo

Mkoa
Pwani
Wilaya
Kibaha Mjini
Eneo
Visiga
Matumizi : miradi
Bei TZS: 4000/SQM
Bei Kuanzia TZS: 3,000,000
Malipo kwa awamu mpaka miezi: 12
Kwa taarifa zaidi wasiliana nasi: 0767 711 120/0744 444 509/0677 303 344

Pata kiwanja kwa mkopo wa riba nafuu kupitia benki washirika.

Bonyeza jina la benki kupata taarifa zaidi.

Andika ujumbe
${error}

Sending Query

Please wait....

Viwanja Tanzania

Nyumba ya Maarifa, mkabala na ofisi za shirika la ndege ( ATC), mtaa wa Ohio.

+255 767 711 120 | +255 744 444 509 | +255 677 304 344
Saa za Kazi Jumatatu- ljumaa : Saa 2:00 Asubuhi - 11:00 Jioni
Jumamosi : Saa 3:00 Asubuhi - 7:00 Mchana

Tufuate kwenye mitandao ya kijamii

VIWANJATANZANIA © 2024
Designed and Maintained By
Wisne.co