× NYUMBANI KUHUSU SISI HUDUMA ZETA UTARATIBU WASILIANA NASI PICHA
Currently there are no videos to display, sorry.

KISEMVULE-MKURANGA

Kiwanja kipo eneo zuri na ni kwa matumizi ya viwanda pia matumizi yanaweza kubalika kulingana na aina ya biashara. Kipo mita chache kutoka barabara ya Kilwa, kipo umbali usiozidi 5km kutoka kiwanda cha Rhino cement na Lodhia steel. Kinafikika kwa barabara ya lami. Umbali kutoka bandari ni 30km. 

Mahali ulipo

Mkoa
Pwani
Wilaya
Mkuranga
Eneo
Kisemvule
Matumizi : viwanda
Ukubwa: 0SQM
Bei TZS: 450,000,000.00
Malipo kwa awamu mpaka miezi: Cash
Kwa taarifa zaidi wasiliana nasi: 0767 711 120/0744 444 509/0677 303 344

Pata kiwanja kwa mkopo wa riba nafuu kupitia benki washirika.

Bonyeza jina la benki kupata taarifa zaidi.

Andika ujumbe
${error}

Sending Query

Please wait....

Viwanja Tanzania

Nyumba ya Maarifa, mkabala na ofisi za shirika la ndege ( ATC), mtaa wa Ohio.

+255 767 711 120 | +255 744 444 509 | +255 677 304 344
Saa za Kazi Jumatatu- ljumaa : Saa 2:00 Asubuhi - 11:00 Jioni
Jumamosi : Saa 3:00 Asubuhi - 7:00 Mchana

Tufuate kwenye mitandao ya kijamii

VIWANJATANZANIA © 2022
Designed and Maintained By
Wisne.co