× NYUMBANI KUHUSU SISI HUDUMA ZETA UTARATIBU WASILIANA NASI PICHA
Currently there are no videos to display, sorry.

YALEYALE PUNA-KIGAMBONI

Kiwanja kipo katika eneo linalokuwa kwa kasi 400m kutoka ufukweni mwa bahari ya Hindi (sauti na upepo wa bahari unasikika kwa karibu sana), pembezoni mwa barabara kuu ya Kimbiji-Ferry, karibu na Pachikonjo Beach. 9km kutoka Kimbiji Centre, Kiwanja kinafikika kwa barabara nzuri na usaļ¬ri wa daladala unapatikana. Eneo la baharani (beach) linalopakana na kiwanja limejengwa hoteli za kisasa. Huduma za kijamii-umeme,maji,shule na Hospitali zinapatikana.

Mahali ulipo

Mkoa
Dar Es Salaam
Wilaya
Kigamboni
Eneo
Yaleyale Puna
Matumizi : beach
Ukubwa: 990SQM
Bei TZS: 20,000,000.00
Malipo kwa awamu mpaka miezi: Cash
Kwa taarifa zaidi wasiliana nasi: 0767 711 120/0744 444 509/0677 303 344

Pata kiwanja kwa mkopo wa riba nafuu kupitia benki washirika.

Bonyeza jina la benki kupata taarifa zaidi.

Andika ujumbe
${error}

Sending Query

Please wait....

Viwanja Tanzania

Nyumba ya Maarifa, mkabala na ofisi za shirika la ndege ( ATC), mtaa wa Ohio.

+255 767 711 120 | +255 744 444 509 | +255 677 304 344
Saa za Kazi Jumatatu- ljumaa : Saa 2:00 Asubuhi - 11:00 Jioni
Jumamosi : Saa 3:00 Asubuhi - 7:00 Mchana

Tufuate kwenye mitandao ya kijamii

VIWANJATANZANIA © 2022
Designed and Maintained By
Wisne.co