× NYUMBANI KUHUSU SISI HUDUMA ZETA UTARATIBU WASILIANA NASI PICHA
Orodha ya Viwanja na Bei
Currently there are no videos to display, sorry.

DIAMOND ESTATE KIMBIJI-KIGAMBONI

Viwanja vipo eneo la Kimbiji (Maarufu kwa jina la kwa Charle) karibu na shule ya msingi Bohari. Umbali wa 2km kutoka barabara kuu ya Kimbiji na 6km kutoka Kimbiji center.

Upande wa pili wa barabara kuu ya Kimbiji ni karibu sana na bahari ya Hindi. Eneo la viwanja ni zuri na tambarare na linafikika kwa barabara. Huduma zote za kijamii zipo ikiwemo umeme, maji, shule na hospitali.


Mahali ulipo

Mkoa
Dar Es Salaam
Wilaya
Kigamboni
Eneo
Kimbiji
Matumizi : miradi
Bei TZS: 8000/SQM
Bei Kuanzia TZS: 2,500,000
Malipo kwa awamu mpaka miezi: 24
Kwa taarifa zaidi wasiliana nasi: 0767 711 120/0744 444 509/0677 303 344

Pata kiwanja kwa mkopo wa riba nafuu kupitia benki washirika.

Bonyeza jina la benki kupata taarifa zaidi.

Andika ujumbe
${error}

Sending Query

Please wait....

Viwanja Tanzania

Nyumba ya Maarifa, mkabala na ofisi za shirika la ndege ( ATC), mtaa wa Ohio.

+255 767 711 120 | +255 744 444 509 | +255 677 304 344
Saa za Kazi Jumatatu- ljumaa : Saa 2:00 Asubuhi - 11:00 Jioni
Jumamosi : Saa 3:00 Asubuhi - 7:00 Mchana

Tufuate kwenye mitandao ya kijamii

VIWANJATANZANIA © 2022
Designed and Maintained By
Wisne.co