× NYUMBANI KUHUSU SISI HUDUMA ZETA UTARATIBU WASILIANA NASI PICHA
Bei za Viwanja
Currently there are no videos to display, sorry.

KIMBIJI-KIGAMBONI

Mradi mzuri sana, umbali kutoka Ferry ni 36KM.

Eneo ni zuri sana kwaajili ya kilimo na ufugaji. Huduma

za kijamii zipo ikiwemo maji, umeme, barabara, hospitali nk.

Majirani wapo pia kuna ulinzi na usalama.

Mahali ulipo

Mkoa
Dar Es Salaam
Wilaya
Kigamboni
Eneo
Kimbiji
Matumizi : miradi
Bei TZS: 8000/SQM
Bei Kuanzia TZS: 2,500,000
Malipo kwa awamu mpaka miezi: Miezi 24
Kwa taarifa zaidi wasiliana nasi: 0767711120

Pata kiwanja kwa mkopo wa riba nafuu kupitia benki washirika.

Bonyeza jina la benki kupata taarifa zaidi.

Andika ujumbe
${error}

Sending Query

Please wait....

Viwanja Tanzania

Mikocheni, Barabara ya Mwai Kibaki

Karibu na Hospitali ya TMJ Mkabala na Tanesco

+255 767 711 120 | +255 744 444 509 | +255 677 304 344
Saa za Kazi Jumatatu- ljumaa : Saa 2:00 Asubuhi - 11:00 Jioni
Jumamosi : Saa 3:00 Asubuhi - 7:00 Mchana

Tufuate kwenye mitandao ya kijamii

VIWANJATANZANIA © 2021
Designed and Maintained By
Wisne.co