× NYUMBANI KUHUSU SISI HUDUMA ZETA UTARATIBU WASILIANA NASI PICHA
Ramani ya Viwanja
Currently there are no videos to display, sorry.

MWEMBEMDOGO-KIGAMBONI

Viwanja vipo katika eneo zuri na tambarare na kwenye mpangilio wa kisasa. Mradi upo 2.5km kutoka kwenye mradi wa nyumba wa Dege ECO Village, 2km kutoka barabara kuu ya Kimbiji na 20km kutoka Ferry au daraja la Kigamboni. Viwanja vipo karibu sana na Hotel ya Eagle. Usafiri wa daladala unapatikana, barabara zinapitika wakati wote. Huduma za kijamii ikiwemo maji, umeme, hospitali na shule zipo kwa karibu sana.

Mahali ulipo

Mkoa
Dar Es Salaam
Wilaya
Kigamboni
Eneo
Mwembe Mdogo
Matumizi : miradi
Bei TZS: 15000/SQM
Bei Kuanzia TZS: 10,215,000
Malipo kwa awamu mpaka miezi: 12
Kwa taarifa zaidi wasiliana nasi: 0767 711 120/0744 444 509/0677 303 344

Pata kiwanja kwa mkopo wa riba nafuu kupitia benki washirika.

Bonyeza jina la benki kupata taarifa zaidi.

Andika ujumbe
${error}

Sending Query

Please wait....

Viwanja Tanzania

Nyumba ya Maarifa, mkabala na ofisi za shirika la ndege ( ATC), mtaa wa Ohio.

+255 767 711 120 | +255 744 444 509 | +255 677 304 344
Saa za Kazi Jumatatu- ljumaa : Saa 2:00 Asubuhi - 11:00 Jioni
Jumamosi : Saa 3:00 Asubuhi - 7:00 Mchana

Tufuate kwenye mitandao ya kijamii

VIWANJATANZANIA © 2022
Designed and Maintained By
Wisne.co