× NYUMBANI KUHUSU SISI HUDUMA ZETA UTARATIBU WASILIANA NASI PICHA
Ramani ya Viwanja
Currently there are no videos to display, sorry.

KEREGE-BAGAMOYO

Kerege ni eneo zuri sana, liko umbali wa 8km kutoka Bunju (Daraja la mto mpiji) mpaka wa Dar es salaam na Bagamoyo na linapakana na mradi wa EPZ. Liko pembezoni mwa barabara kuu ya Bagamoyo. Tayari baadhi ya maeneo yameendelezwa katika nyanja mbalimbali zikiwemo huduma za shule, hoteli, viwanda, hospitali na kilimo/ufugaji wa mjini. Viwanja vipo 1.2km kutoka barabara kuu ya Bagamoyo upande wa baharini ukiwa unatokea Dar es salaam.
Mahali ulipo

Mkoa
Pwani
Wilaya
Bagamoyo
Eneo
Kerege
Matumizi : miradi
Bei TZS: 9500/SQM
Bei Kuanzia TZS: 4,000,000
Malipo kwa awamu mpaka miezi: 12
Kwa taarifa zaidi wasiliana nasi: 0767 711 120/0744 444 509/0677 303 344

Pata kiwanja kwa mkopo wa riba nafuu kupitia benki washirika.

Bonyeza jina la benki kupata taarifa zaidi.

Andika ujumbe
${error}

Sending Query

Please wait....

Viwanja Tanzania

Nyumba ya Maarifa, mkabala na ofisi za shirika la ndege ( ATC), mtaa wa Ohio.

+255 767 711 120 | +255 744 444 509 | +255 677 304 344
Saa za Kazi Jumatatu- ljumaa : Saa 2:00 Asubuhi - 11:00 Jioni
Jumamosi : Saa 3:00 Asubuhi - 7:00 Mchana

Tufuate kwenye mitandao ya kijamii

VIWANJATANZANIA © 2022
Designed and Maintained By
Wisne.co