KIWANJA KINAUZWA MIVUMONI - WAZO HILLS
1️⃣Kiwanja kizuri kipo eneo zuri la Mivumoni
2️⃣Kimepimwa na kina HATI
3️⃣Kimezungukwa na Nyumba nzuri na za kisasa
4️⃣Kimezungushiwa fence imara ya matofali
5️⃣ Huduma za kijamii ikiwemo maji, umeme, shule, hospitali, ulinzi zinapatikana