× NYUMBANI KUHUSU SISI HUDUMA ZETA UTARATIBU WASILIANA NASI PICHA
Currently there are no videos to display, sorry.

KITOPENI-BAGAMOYO

Kwa fursa zinakokuja katika wilaya ya Bagamoyo zikiwemo ujenzi wa bandari mpya na ya kisasa, viwanda, EPZ, hoteli za kitalii, upangwaji upya wa mji wa Bagamoyo na zaidi kuwa mlango mkuu wa kuingia na kutoka katika jiji la Dar es Salaam. Utafanya kosa kama hutaona hii kuwa ni FURSA nyingine kwako ambayo huwezi kuikoisa.

 

Viwanja ni vizuri sana venye sifa zifuatazo

 

·       Vinapakana na mradi wa bandari mpya ya Bagamoyo

·       Karibu na viwanda vikubwa na vya kisasa

·       Umbali wa kutembea kwa miguu kutoka barabara kuu ya Bagamoyo

·       Vinafikika kwa barabara

·       Huduma za jamii zinapatikana zikiwemo barabara na umeme

Mahali ulipo

Mkoa
Pwani
Wilaya
Bagamoyo
Eneo
Kitopeni
Matumizi : miradi
Bei TZS: 9500/SQM
Bei Kuanzia TZS: 950,000
Malipo kwa awamu mpaka miezi: Cash
Kwa taarifa zaidi wasiliana nasi: 0767 711 120 | 0677 303 344 | 0744 444 509

Pata kiwanja kwa mkopo wa riba nafuu kupitia benki washirika.

Bonyeza jina la benki kupata taarifa zaidi.

Andika ujumbe
${error}

Sending Query

Please wait....

Viwanja Tanzania

Nyumba ya Maarifa, mkabala na ofisi za shirika la ndege ( ATC), mtaa wa Ohio.

+255 767 711 120 | +255 744 444 509 | +255 677 304 344
Saa za Kazi Jumatatu- ljumaa : Saa 2:00 Asubuhi - 11:00 Jioni
Jumamosi : Saa 3:00 Asubuhi - 7:00 Mchana

Tufuate kwenye mitandao ya kijamii

VIWANJATANZANIA © 2023
Designed and Maintained By
Wisne.co