× NYUMBANI KUHUSU SISI HUDUMA ZETA UTARATIBU WASILIANA NASI PICHA
Ramani ya Viwanja
Currently there are no videos to display, sorry.

VIKAWE-BAGAMOYO

Viwanja vipo njia ya kuelekea Bagamoyo, eneo la Vikawe karibu sana na shule ya Sekondari ya Baobab, 5km kutoka barabara ya Bagamoyo, pembezoni mwa barabara ya Mapinga-Maili Moja. Viwanja vimepimwa kwa mpangilio mzuri kwa kuzingatia mahitaji ya maisha ya kisasa. Barabara zimechongwa kufikia kila kiwanja, Huduma ya maji, umeme, shule, hospitali, ulinzi, nyumba za ibada zinapatikana.

Mahali ulipo

Mkoa
Pwani
Wilaya
Bagamoyo
Eneo
Vikawe
Matumizi : miradi
Bei TZS: 20000/SQM
Bei Kuanzia TZS: 12,000,000
Malipo kwa awamu mpaka miezi: Miezi 12
Kwa taarifa zaidi wasiliana nasi: 0767 711 120 | 0677 303 344 | 0744 444 509

Pata kiwanja kwa mkopo wa riba nafuu kupitia benki washirika.

Bonyeza jina la benki kupata taarifa zaidi.

Andika ujumbe
${error}

Sending Query

Please wait....

Viwanja Tanzania

Nyumba ya Maarifa, mkabala na ofisi za shirika la ndege ( ATC), mtaa wa Ohio.

+255 767 711 120 | +255 744 444 509 | +255 677 304 344
Saa za Kazi Jumatatu- ljumaa : Saa 2:00 Asubuhi - 11:00 Jioni
Jumamosi : Saa 3:00 Asubuhi - 7:00 Mchana

Tufuate kwenye mitandao ya kijamii

VIWANJATANZANIA © 2024
Designed and Maintained By
Wisne.co