× NYUMBANI KUHUSU SISI HUDUMA ZETA UTARATIBU WASILIANA NASI PICHA
RAMANI YA VIWANJA
Currently there are no videos to display, sorry.

ZEGERENI-KIBAHA

Viwanja vipo eneo zuri sana la Zegereni. Viwanja vipo 6km kutoka barabara kuu ya Morogoro. Eneo zuri sana kwa uwekezaji wa Nyumba za kupangisha, Kuna uhitaji mkubwa sana wa nyumba kutoka kwa wafanyakazi wa viwandani. Nyumba zenye soko sana ni ya vyumba 2 na 1 zikiwa na bafu na choo na jiko na sebule. Unaweza kujenga nyumba zaidi ya moja.

Mahali ulipo

Mkoa
Pwani
Wilaya
Kibaha Mjini
Eneo
Zegereni
Matumizi : miradi
Bei TZS: 7500/SQM
Bei Kuanzia TZS: 3,667,500
Malipo kwa awamu mpaka miezi: Miezi 6
Kwa taarifa zaidi wasiliana nasi: 0767 711 120 | 0677 303 344 | 0744 444 509

Pata kiwanja kwa mkopo wa riba nafuu kupitia benki washirika.

Bonyeza jina la benki kupata taarifa zaidi.

Andika ujumbe
${error}

Sending Query

Please wait....

Viwanja Tanzania

Nyumba ya Maarifa, mkabala na ofisi za shirika la ndege ( ATC), mtaa wa Ohio.

+255 767 711 120 | +255 744 444 509 | +255 677 304 344
Saa za Kazi Jumatatu- ljumaa : Saa 2:00 Asubuhi - 11:00 Jioni
Jumamosi : Saa 3:00 Asubuhi - 7:00 Mchana

Tufuate kwenye mitandao ya kijamii

VIWANJATANZANIA © 2024
Designed and Maintained By
Wisne.co