× NYUMBANI KUHUSU SISI HUDUMA ZETA UTARATIBU WASILIANA NASI PICHA
Currently there are no videos to display, sorry.

MUONGOZO-KIGAMBONI

Viwanja vizuri vilivyopimwa vilivyopo Kigamboni, Muongozo eneo la Malimbika. Vipo 19km kutoka mjini na karibu sana na barabara kuu ya lami. Maeneo ya jirani yameishaendelezwa kwa ujenzi wa nyumba nzuri na za kisasa. 

Huduma za jamii zikiwemo umeme, barabara, shule, nyumba za ibada na ulinzi zinapatikana.

Mahali ulipo

Mkoa
Dar Es Salaam
Wilaya
Kigamboni
Eneo
Mwongozo
Matumizi : miradi
Bei TZS: 30000/SQM
Bei Kuanzia TZS: 17,000,000
Malipo kwa awamu mpaka miezi: Miezi 12
Kwa taarifa zaidi wasiliana nasi: 0767 711 120 | 0677 303 344 | 0744 444 509

Pata kiwanja kwa mkopo wa riba nafuu kupitia benki washirika.

Bonyeza jina la benki kupata taarifa zaidi.

Andika ujumbe
${error}

Sending Query

Please wait....

Viwanja Tanzania

Nyumba ya Maarifa, mkabala na ofisi za shirika la ndege ( ATC), mtaa wa Ohio.

+255 767 711 120 | +255 744 444 509 | +255 677 304 344
Saa za Kazi Jumatatu- ljumaa : Saa 2:00 Asubuhi - 11:00 Jioni
Jumamosi : Saa 3:00 Asubuhi - 7:00 Mchana

Tufuate kwenye mitandao ya kijamii

VIWANJATANZANIA © 2024
Designed and Maintained By
Wisne.co