NGOBANYA-KIGAMBONI
Viwanja vipo Ngobanya karibu na AVIC TOWN. Vipo 3km kutoka Amani Beach na Protea Hotel Beach. Viwanja vipo pembezoni mwa barabara kuu ya Kimbiji Ferry. Huduma za kijamii ikiwemo maji, umeme, shule, ulinzi na hospitali zinapatikana kwa karibu sana!
Bei kuanzia Tzs 4,500,000 kwa malipo ya awamu mpaka mwaka mzima!
.