× NYUMBANI KUHUSU SISI HUDUMA ZETA UTARATIBU WASILIANA NASI PICHA
Ramani ya Viwanja
Currently there are no videos to display, sorry.

YALEYALE PUNA BEACH-KIGAMBONI

Viwanja vipo katika eneo linalokuwa kwa kasi. 400m kutoka ufukweni mwa bahari ya Hindi (sauti na upepo wa bahari unasikika kwa karibu sana), pembezoni mwa barabara kuu ya Kimbiji-Ferry, karibu na Pachikonjo beach, 9km kutoka Kimbiji Center, 40km kutoka Ferry/Daraja la Kigamboni. Barabara ni nzuri na usafiri wa daladala unapatikana.

Eneo la baharini (beach) linalopakana na mradi wa viwanja limejengwa hoteli za kisasa. Huduma za kijamii, umeme, maji, shule na hospitali zinapatikana.


Mahali ulipo

Mkoa
Dar Es Salaam
Wilaya
Kigamboni
Eneo
Yaleyale Puna
Matumizi : miradi
Bei TZS: 25000/SQM
Bei Kuanzia TZS: 8,000,000
Malipo kwa awamu mpaka miezi: 12
Kwa taarifa zaidi wasiliana nasi: 0767 711 120 | 0744 444 509 | 0677 303 344

Pata kiwanja kwa mkopo wa riba nafuu kupitia benki washirika.

Bonyeza jina la benki kupata taarifa zaidi.

Andika ujumbe
${error}

Sending Query

Please wait....

Viwanja Tanzania

Nyumba ya Maarifa, mkabala na ofisi za shirika la ndege ( ATC), mtaa wa Ohio.

+255 767 711 120 | +255 744 444 509 | +255 677 304 344
Saa za Kazi Jumatatu- ljumaa : Saa 2:00 Asubuhi - 11:00 Jioni
Jumamosi : Saa 3:00 Asubuhi - 7:00 Mchana

Tufuate kwenye mitandao ya kijamii

VIWANJATANZANIA © 2024
Designed and Maintained By
Wisne.co