× NYUMBANI KUHUSU SISI HUDUMA ZETA UTARATIBU WASILIANA NASI PICHA
Currently there are no videos to display, sorry.

KIBADA-KIGAMBONI

Kiwanja kizuri, kimepimwa na kina hati. Kipo 12km kutoka Ferry. Kimezungukwa na nyumba nzuri na za kisasa.

Huduma za kijamii ikiwemo maji, umeme, hospitali, shule, ulinzi zinapatikana

Mahali ulipo

Mkoa
Dar Es Salaam
Wilaya
Kigamboni
Eneo
Kibada
Matumizi : makazi
Ukubwa: 561SQM
Bei TZS: 25,000,000.00
Malipo kwa awamu mpaka miezi: Cash
Kwa taarifa zaidi wasiliana nasi: 0767 711 120 | 0677 303 344 | 0744 444 509

Pata kiwanja kwa mkopo wa riba nafuu kupitia benki washirika.

Bonyeza jina la benki kupata taarifa zaidi.

Andika ujumbe
${error}

Sending Query

Please wait....

Viwanja Tanzania

Nyumba ya Maarifa, mkabala na ofisi za shirika la ndege ( ATC), mtaa wa Ohio.

+255 767 711 120 | +255 744 444 509 | +255 677 304 344
Saa za Kazi Jumatatu- ljumaa : Saa 2:00 Asubuhi - 11:00 Jioni
Jumamosi : Saa 3:00 Asubuhi - 7:00 Mchana

Tufuate kwenye mitandao ya kijamii

VIWANJATANZANIA © 2024
Designed and Maintained By
Wisne.co