Viwanja tanzania
viwanja
viwanja
viwanja
viwanja
viwanja
viwanja
viwanja
viwanja
viwanja
viwanja
viwanja
viwanja
viwanja
viwanja
viwanja
viwanja
viwanja
viwanja
viwanja
KARIBU VIWANJA TANZANIA KUNUNUA AU KUUZA KIWANJA/VIWANJA KWA HARAKA NA BEI NZURI.
Kila mtu anweza kununua au kuuza kiwanja ila siyo wote wanaweza kufanikisha hilo zoezi kwa ufanisi. Ufanisi ni pamoja na:.

KUNUNUA

  • Kiwanja sahihi kwa wakati sahihi
  • Kiwanja kwa bei sahihi/nzuri
  • Kuepuka kutapeliwa

KUUZA

  • Kiwanja kwa wakati muafaka
  • Kiwanja kwa bei nzuri
  • Kuepuka kudhulumiwa
KUNUNUA KIWANJA
• Ni rahisi na salama sana kununua kiwanja ukipendacho kupitia kwetu.
• Baada ya kupatiwa taarifa kuhusiana na miradi yetu na viwanja vinavyouzwa (availbale plots), mteja atashauriwa kuchagua kiwanja kulingana na mahitaji na bajeti yake.
• Mteja anaweza kuamua kukihifadhi (reserve) kiwanja alichokichagua kabla ya kwenda kukitebelea (site visit) au kutembelea miradi yetu kwanza na kujiridhisha ili afanye uchaguzi kulingana na vigezo vyake.
• Baada ya kuhakiki kiwanja alichokichagua ataanza utaratibu wa kukilipia mara moja. Anaweza kulipa mara moja, kwa awamu au kupitia mikopo ya benki washirika.
• Mara baada ya kukamilisha malipo atapatiwa hati ya umiliki na kuanza kukiendeleza kiwanja chake. .

KUUZA KIWANJA
Tunatoa huduma ya uwakala wa kuuza viwanja vya miradi na visivyokuwa vya miradi. Huduma yetu ni nzuri na salama itakayokufanya uwe na mda wa kufanya shughuli zako zingine wakati sisi tunauza viwanja vyako na kukuwekea pesa kwenye akaunti yako ya benki.
• Wasiliana nasi au fika ofisini kwetu Mikocheni Karibu na hospitali ya TMJ mkabala na ofisi za Tanesco.
• Tutajadiliana na kukushauri jinsi ya kufanikisha zoezi la kuuza kiwanja/viwanja vyako kwa uharaka na bei nzuri.
• Baada ya kuelewana na kusajili kiwanja/viwanja vyako utakuwa umetimiza ndoto na malengo yako.
• Tuachie kazi ya kuuza na kukuwekea pesa kwenye akaunti yako ya benki
 Viwanja Tanzania Ltd

Mikocheni, Barabara ya Mwai Kibaki
Karibu na Hospitali ya TMJ Mkabala na Tanesco

  + (255) - 677 303 344
 Saa za Kazi Jumatatu - Ijumaa : Saa 2:00 Ahsubuhi - 11:00 Jioni
 Jumamosi/Jumapili na sikukuu Saa 3.00 Ahsubuhi - 8.00 Mchana

Kupata taarifa mpya na bei nzuri za viwanja jiunge nasi
  Tufuate