Viwanja tanzania
viwanja
viwanja
viwanja
viwanja
viwanja
viwanja
viwanja
viwanja
viwanja
viwanja
viwanja
viwanja
viwanja
viwanja
viwanja
viwanja
viwanja
viwanja
viwanja
KUHUSU SISI

Prime Location Investments Ltd tulianza rasmi kujihusisha na biashara ya kuuza na kupangisha majengo (Real Estate Agency) mnamo mwaka 2008. Miaka 9 baadaye tulitambua umuhimu wa kuanzisha kitengo (Brand) kitakacho husika rasmi na uuzaji wa Viwanja, VIWANJA TANZANIA. Sisi ni wataalamu tuliobobea katika maswala kupangisha na kuuza majengo pamoja na uuzaji wa viwanja vilivyopimwa vya ukubwa na matumizi ya aina zote, ikiwemo makazi, makazi na biashara, biashara na viwanda. Tumeweza kufanikiwa sana katika nyanja hii kutokana na umahili wetu.
MAONO YETU
Kuhakikisha tunakuwa kampuni bora na ya kuaminika katika uuzaji wa viwanja Tanzania.

KAZI YETU
Tumejitolea na kuwekeza nguvu zetu kuhakikisha tunakuwa kampuni namba moja kwa wateja wetu wa sasa na wapya (wanunuaji na wauzaji ) wanaonunua na kuuza viwanja katika miradi yao ya ardhi kwa haraka na faida katika soko linalokua kwa kasi ndani na nje ya Tanzania.
 Viwanja Tanzania Ltd

Mikocheni, Barabara ya Mwai Kibaki
Karibu na Hospitali ya TMJ Mkabala na Tanesco

  + (255) - 677 303 344
 Saa za Kazi Jumatatu - Ijumaa : Saa 2:00 Ahsubuhi - 11:00 Jioni
 Jumamosi/Jumapili na sikukuu Saa 3.00 Ahsubuhi - 8.00 Mchana

Kupata taarifa mpya na bei nzuri za viwanja jiunge nasi
  Tufuate